Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
NimeitunzaItunze mahali pazuri...
Nitaanzisha kampeni soon ya kutaka irudishwe. Mwenyewe niliisevu japo sikumbuki ni wapi!
Uko poa lakini? Ushazoea sasa?
Sio hata kuzoea...nimeshachoka

NimeitunzaItunze mahali pazuri...
Nitaanzisha kampeni soon ya kutaka irudishwe. Mwenyewe niliisevu japo sikumbuki ni wapi!
Uko poa lakini? Ushazoea sasa?

Ndio marafiki hao tayari. Kuliko unifriend zone halafu uniletee invoices, bora hao fyuck mates wanajua kabisa msingi wa urafiki wenu ni nini. Hata siku akikwama unajua kabisa mwenzang leo yupo juu ya mawekumbe hata sio marafiki... They're actually fu*kmates


I'm definitely going back...soonPole.
Come back home!
Ndio marafiki hao tayari. Kuliko unifriend zone halafu uniletee invoices, bora hao fyuck mates wanajua kabisa msingi wa urafiki wenu ni nini. Hata siku akikwama unajua kabisa mwenzang leo yupo juu ya mawe![]()


oohMideko utauwa watoto kwa njaa...khaa!!!! Umebakiza kukomba sufuria tu.
Kifo kipo Ankali, nilikuwa mzima wa afyaIlibidi nidhanie hivyo,maana kimya ghafla.
Shwari kiongoziPoa boss...habari za masiku!
Tumuulize mtaalam Mshana jrHivi kuna kurogwa na mwenye nyumba ili usihame au tu usifanikiwe?![]()