#UNAAMBIWA Mnyama ambae hadi sasa anashikilia rekodi ya dunia ya kutomuogopa Mnyama yeyote, Mtu au kitu chochote kile anaitwa Nyegere (Honey Badger), ana uwezo wa kuanzisha ugomvi na Binadamu au Wanyama wakali kama Simba, Nyoka wakubwa wenye sumu kali na wengine bila woga na akashinda.
Nyegere ana wivu usio na kipimo kwa jike lake hasa anapokuwa mawindoni akitembea nae na hata jani likimgusa Jike atalikata kwa hasira, hii yote ni kuonesha ubabe wake kwa jike kutokana na majike kuwa na tabia ya kuchagua madume mengine yenye nguvu zaidi.
Allah akupe wepesi kwa yanayokusumbua manjilinji weye, let me see Tanzania nzima tukuabudu au sio, sababu wewe nani yani, Mungu au? Watakusujudia hao unaowavua nguo na bado wakakumbilia ving'ang'anizi unawajua na huwasemi shenz*"
"Na nisipomng'ang'ania yeye nikang'ang'anie nani wewe kwa hizo bukubuku zako au kwa hilo wigi usilivua, unanunua umaarufu kwa kukera nafsi za watu utukane wazazi, watoto huna mipaka hata kidogo alafu ukijibiwa kidogo nyooooooo wanakuchonyota we bingwa eeeeeh, mbona huleti fito hizo TZ umejificha kwenye kistoo Marekani nakuonaga una akili ila kuna muda kutafuta kwako rizki kusikufanye ukakera nafsi za watu koma bibi"
"Huna kipaji wala mtaji una kazi ya kulaani watu na kujitia Mungu mtu sema niko pale Nawaitu bin sharri muiteni nzi wenu hapa"- Zuchu