Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Adjustments.JPG
 
Haya wale mmenunua nguo za pasaka mkishakula mpunga wenu ogeni vaeni nguo zenu Kisha anzeni kutembea unatoka chumba kimoja unaingia chumba kingine utakuwa umeshasherehekea pasaka yako vizuri kabisa......mvua ya leo ni lockdown tosha imesaidi kupunguza mengi tuseme Aamen #Stay Home# Corona ipo epuka mikusanyiko

Jr
 
Back
Top Bottom