Sisi km yanga tunasema baba mwenye nyumba mungu atamlipaBaba mwenye nyumba kasema Kodi ya mwezi huu nisitoe amesha ongea na mke wangu
Ukiweka na Pepsi big 2 Hadi raha😅😅😅😅😅ila jiangalie vizuri kamba za viatu unaweza usiweze kufunga
Hapo ndipo kipengele kinapoanzia