Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1691229389387.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pichani ni moja ya vivutio vikubwa kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma ambao ni kuku aina ya Brahama wenye asili ya Saudi Arabia na kwa pamoja (wawili) wanauzwa shilingi milioni 1.

Wizara ya Mifugo imesema hao ni kuku wa pili kwa ukubwa Ulimwenguni ambao hufikia mpaka uzito wa kilo 7 na ni kuku wa mapambo na biashara na ni rahisi kufuga kwasababu hufugwa kwa njia za asili kama kuku wengine.

Kuku Jike anaanza kutaga mayai akiwa na umri wa miezi 6 na hutaga mayai yasiyopungua 20 na huweza kuishi mazingira yoyote.

Kuku hao walikuwa sita kwenye maonesho na tayari wanne wameuzwa na kwa sasa wamebaki wawili.
#MillardAyoUPDATES
20230805_190047.jpg

#MillardAyoUPDATESView attachment 2709392

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh sijui ukweli ni upi.....NAMI nafuga hao kuku naona kama wanawaover rate
 
Attachments

  • Screenshot_2023-08-05-19-09-58-733_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-08-05-19-09-58-733_com.android.chrome.jpg
    138.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_2023-08-05-19-20-44-661_com.miui.videoplayer.jpg
    Screenshot_2023-08-05-19-20-44-661_com.miui.videoplayer.jpg
    286.5 KB · Views: 13
Back
Top Bottom