Ukimaliza kujenga nyumba ikiwa nzuri anasifiwa mwenye nyumba na nyumba yake nzuri auliziwi fundi alieijenga na kupewa maua yake, Maisha hayaAmin. [emoji1545]View attachment 2708432
Ngoja waje...Ukimaliza kujenga nyumba ikiwa nzuri anasifiwa mwenye nyumba na nyumba yake nzuri auliziwi fundi alieijenga na kupewa maua yake, Maisha haya
Pambana mkuu Ila kwanini hizo tofali zina uwazi hapo katikati?