Bwana Mkuu wa Mkoa hataki wimbo wa AMKENI wa Nay wa Mitego eti unahamasisha vita lakini akiwa grocery anaimba kwa sauti “Eeh nyege nyege, kwetu mwanza nyegezi, nyege nyege, nishushe mwanza Nyegezi”
Ibrahim Traore, Rais wa Burkina Faso, akihutubia watu wake:
"Najua mimi ni mdogo kuliko wengi wenu, lakini ninaahidi kuwajulisha mataifa yenye nguvu ya Magharibi kile Burkina Faso inaitwa, nchi ya watu huru.
Basi Bwana Miaka Ya 2013-2014 Mambo Yangu Hayakuwa Mazuri Kabisaaaaa, Nikapata Wazo Niende Nyanda Za Juu Kusini Kwa Mtaalamu Yule Anayetoa Utajiri Wa Kuku Kudonoa Punje Za Mahindi…..NIKAFIKA!![emoji16]
Akanambia Kuku Huyu Punje Atakazodonoa Ndo Idadi Ya Miaka Utakayoishi Ukiwa Na Utajiri Mkubwa Kisha Utakata Moto Ghafla[emoji174]Yani Utapata Kifo Cha Kushtukiza Hutapata Hata Nafasi Ya Kutubu!! Nikamwambia Sawa Mimi Kikubwa Niwe Tajiri Muachie Huyo HEN [emoji239] Adonoe!!
Kuku Alidonoa Punje Mbili Tu Akasepa!! Nikajisemea Moyoni Mmh Kwahiyo 2016 Tu Sitoboi!!
Oyaaaa Mwaka Wa 10 Huu Nadunda Na Sijaona Hata Huo Utajiri Wenyewe!![emoji16]
Mungu Bwana Ndio Kila Kitu Zile Zilikuwaga Sound Tu!!
Nina Mwanangu Aliendaga Kuku Akala Kama Punje 20 Hivi, Aaah Mganga Akamwambia Sio Kweli[emoji16]Kuna Kitu Nimekosea Turudie Tena[emoji16]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.