Mshanajr aliripoti kutakuwa na baridi sana mambo ndio hayasasa
Huyu kaongea ukweli kabisaaaa
🤣🤣🤣 Kuna mtu kaamaua kugegeda kondooo
Kuna baridi kali sana safari hii yani😌Mshanajr aliripoti kutakuwa na baridi sana mambo ndio hayasasa
Zinatoka kongo na maliUFARANSA IMEKUWA NI NCHI YA NNE DUNIANI KWA KUWA NA HIFADHI YA DHAHABU DUNIANI WAKATI HUO NCHI HIYO HAINA MACHIMBO YA MADINIView attachment 2678929
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nini kamanda?mzee kumbe si haba😂
unapiga mitungiUnamaanisha nini kamanda?
My apology kwa wapenzi wa hii mada, uongozi wa JF na wasomaji wengine wote, uungwana ni vitendo..kuna mahali nilikosea Naomba radhi kwa vipindi tofauti hapo nyuma nilipopost picha zisizo na madili ya kukidhi matakwa ya forum.. !
My apology pia kwa wote ambao kwa njia moja ama nyingine walikwazika na picha hizo.. Tunajifunza kupitia makosa yetu kutokana na kupungukiwa na ukamilifu wa kibinadamu.. NAAHIDI KUWA MAKINI ZAIDI
Sent using Jamii Forums mobile app