Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna ulazima wa kumtengenezea mtu keki kama hii kwenye birthday yake?

29847463sie (664).jpeg
 
My apology kwa wapenzi wa hii mada, uongozi wa JF na wasomaji wengine wote, uungwana ni vitendo..kuna mahali nilikosea Naomba radhi kwa vipindi tofauti hapo nyuma nilipopost picha zisizo na madili ya kukidhi matakwa ya forum.. !
My apology pia kwa wote ambao kwa njia moja ama nyingine walikwazika na picha hizo.. Tunajifunza kupitia makosa yetu kutokana na kupungukiwa na ukamilifu wa kibinadamu.. NAAHIDI KUWA MAKINI ZAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh!! Ndiyo maana walikunyanganya uzi... wakampa Pastor...
 
Back
Top Bottom