Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,289
- 193,279
Hahaha bado unachezea wembe, umetoka kumradhi muda siyo mrefu...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... 😅😅
Hahaha bado unachezea wembe, umetoka kumradhi muda siyo mrefu...
Uzuri upo kwenye macho ya mlaji...
🤣🤣🤣🤣 ukubwa dawaHiyo tuzi itaenda kumtunza, faida mara mbili kwake..
Maslay queen wametoboka kishenzi
Vijana hii namba hawajaifanyia kazi kweli🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️