Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

e01128ddee32e47a1afb53e6df5e5357.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ukiandaa sherehe hakikisha umejipanga. Watu siku hizi hawana heshima hata kidogo.

Enzi zetu watu walikuwa na adabu kwenye sherehe anaenda ila anachukua tahadhari asije akapendeza kuzidi aliyeandaa sherehe na maharusi.

Siku hizi, we jidai mi ntavaa simpo tuu eehehehehee

Watu wanaagiza nguo online, fundi anasimamiwa shurti aonekane tofauti, ateke wapiga picha, mpaka perfumes watu wanazo spesho za mitoko, sasa wewe njoo na marashi yako ya karafuu....😆😆😆😆😆

Usijesema sikuambjwa habari za mjini...

Watu wana namna nyingi ya kupunguza stress, kazi kwako unaweza andaa sherehe ukitegemea kifurahi ukajikuta umeudhika na ukaongeza stress.

Ama piano, piano 🎹 🎶🎶🎵
 
Back
Top Bottom