Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20230706-WA0003.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji845][emoji1423] Eleweni kuwa hatuwezi kuishi kwa matumaini huku watawala wakiendelea kupora maliasili
[emoji1428] Kitendo cha serikali kupeleka muswada June 28 ya kubadili sheria ili ziendane na mkataba wake na DP World ni ishara kuwa HAWATUOGOPI na WAMETUDHARAU
[emoji1428] Mabadiliko ya sheria hayagusi bandari tu bali sekta ya usafirishaji na “uendelezaji wa maliasili” natural wealth - hii ni pamoja na mafuta, gesi, mbuga za wanyama, madini nk
Miaka michache mbele mamilioni ya watanzania wataporwa ardhi, rasilimali na kubaki bila matumaini
Binafsi nimeshtushwa na uroho na ukatili wao - sikujua ni wa kiwango hiki!

Hili genge halitaamka siku moja na kuacha mipango yao miovu - hawa wanahitaji kusimamishwa[emoji845]
Mtakumbuka hii tweet kama si leo hata miaka 10 baadaye
#TutaelewanaTu[emoji848][emoji3064][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom