Keshakula mlungulaDALALI @zittokabwe amekuwa DALALI wa DP WORLD..
Ukiuza kiwanja chako mnunuzi atakuwa hajanunua kwa kuwa hawezi kubeba na kuhamisha kiwanja? Kwamba, atapeleka wapi kiwanja? Hii ni akili timamu?
Nasikitika kuona DALALI ana wafuasi wanamuita “mheshimiwa kiongozi wa chama”.View attachment 2678616View attachment 2678617
Sent using Jamii Forums mobile app