Ajali kama zote yaani. Hata sijui tatizo ni nini!
Muumbaji ni yule yule mmoja. Jina lake na lihimidiwe!
leo asubuhi imepata ajali makambako imegonga IST na usiku huu nyingine imepata ajali kugonga bajaji.
Tatizo lake hasa ni nini? Mwendo kasi au kiburi cha madereva . Kampuni yote ni kama vile imeoza!leo asubuhi imepata ajali makambako imegonga IST na usiku huu nyingine imepata ajali kugonga bajaji.