Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230628-222805.jpg
 
Amepandisha mno kodi. Na bado hela zinafujwa tu na wajanja. Kwenye safari tu za viongozi zimetumika sijui bilioni ngapi tangu aingie serikalini maana nimeona wanamlalamikia.

Ni kama sisi tu. Tozo na kodi kila kona ila zinaliwa na wachache. Hii ndiyo inaumiza na kukasirisha watu!

View attachment 2671148
Hustler anapiga unyonyaji wa hatari duuh,

Kkmmke ndo maana wanaandamana aseee.

From 1% to 30% hahaha hizi ni bangi mbichi kabisa.

Kwaiyo mfanya biashara anayeingiza 600M tshs anawapa serikali 180M instead of 6M duuuh. 🤣🤣🤣🤣🤣

Mentalism kabisa
 
Back
Top Bottom