Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1b4d378dad83c18e065fc121da90e3f6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasomi wakuu wa sheria wa nchi hii wanasema limkataba lina matatizo halafu eti anaibuka Mwijaku, Ki*enge (na mapoyoyo wenzake) au Steve Nyerere na Mpoto kujaribu kuaminisha umma kwamba mkataba uko poa. Pesa ni mwanaharamu aisee. Kuna watu wanaweza kutetea hata makimba kuwa yana uturi safi kisa tu wamelipwa 🚮🚮🚮

IMG-20230628-WA0014.jpg
 
Wasomi wakuu wa sheria wa nchi hii wanasema limkataba lina matatizo halafu eti anaibuka Mwijaku, Ki*enge (na mapoyoyo wenzake) au Steve Nyerere na Mpoto kujaribu kuaminisha umma kwamba mkataba uko poa. Pesa ni mwanaharamu aisee. Kuna watu wanaweza ukatetea hata makimba kuwa yana uturi safi hatari kisa tu wamelipwa

View attachment 2672109
Hata waliowateua wapige debe nao ni walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom