Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,354
- 829,577
- Thread starter
- #167,781
Mzee mmoja wa kimasai alikuwa anasafiri kwa mguu kuelekea kijiji cha jirani alipita porini akagongwa na koboko,pale pale akamkamata yule nyoka akamkata kichwa halafu akachukua panga akaikwangua nyama yote ya eneo alilogongwa na nyoka akaweka dawa ya majani akaendelea na safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
