Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Unafanyeje?
Unatembea nayo mfukoni ama?
Au ni lazima kuja Msata? 😁😁😁
Unafanyeje?
Tulikuwa tunawacheka eti ilikuwaje wakakubali kuuzwa na kufanyiwa unyama huu. Na sisi leo tunauzwa laivu na hakuna kitu tunafanya. Hii kitu inawezekana aisee - either violently or peacefully 😁😁😁
Mzungu hapo kaona BBC basi kwisha kazi 😁😁😁
Ndio dawa ..kula kuku na kifaranga chake
Hapana bro ni mobile service[emoji23]Unafanyeje?
Unatembea nayo mfukoni ama?
Au ni lazima kuja Msata? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuipata mpaka kuja PM ama? 😳😁
Hahahaha[emoji23]Kuna group moja la kiwaki wameshanionya mara mbili kuwa eti watanileftisha. Nawasubiri wajaribu!
View attachment 2667035
Hapana bro ni direct service isiyo na hidden charges[emoji23]Kuipata mpaka kuja PM ama? [emoji15][emoji16]
Ndulele?🤔🤔🤔
Hii spidi sii mchezoMaisha haya. Unaondoka na wife muende sehemu mara paap! Mwisho wa maisha. Ni kuwa tayari tu muda wote na kuomba mwisho mwema 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 2667038
You are still beating around the bush. How do I get this direct service? 😁😁😁😁🖐
Inasemekana ni jana hiyo. Walivaana na basi uso kwa uso...Ni hizi mambo za ku-overtake bila umakini....yaani!Hii spidi sii mchezo
Wapi huko