Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Ukisikia wenye nchi ndo hawa sasa!
Ukisikia wenye nchi ndo hawa sasa!
Karibu kila teknolojia tunayotumia siku hizi kwa namna moja au nyingine nadharia yake imetokana na njemba iliyoko hapa.
Uwepo wako hapa mkuu unasua sua sana. Kulikoni?
Natuhumiwa..Jibu hoja za Dr. Slaa na siyo kushambulia maisha yake binafsi (ambayo sisi hayatuhusu). Hivi ulikuwemo kwenye ile list of shame ama?
View attachment 2670235

Sio dhambi ni ubinafsiHivi ni nani alileta huu utaratibu wa kuoa mke mmoja tu kwa Wagalatia? Mbona miamba yote ya imani hapo zamani ilikuwa na wake kibao?
Kuwa na wake zaidi ya mmoja ni dhambi inayoweza kumfanya mtu asiende mbinguni?
View attachment 2670236
Jibu hili swali:


