Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,397
Halafu unajiuliza, hao walioweka sainizao hapo chini je walisoma kwanza nini kimeandikwa? Wao pia wanastahiki lawama.Kizungu kigumuView attachment 1015108
Uongo bana 😅😅😅😅
Hawa si ndiyo wanasaini haya mamikataba ya ajabu ajabu hata bila kuyasoma?Halafu unajiuliza, hao walioweka sainizao hapo chini je walisoma kwanza nini kimeandikwa? Wao pia wanastahiki lawama.
Wamefanya nini hawa
Inategemeana na sura yake mkuu, ukipata ya sura za baba 🤢🤢, mmmh sio riziki asee
Ni kweli mkuu.Uongo bana 😅😅😅😅
😅😅😅😅😅 Nacheka kama mazuri asee
Alafu shimba hivi unajua una chat na nani natumai umeujua mwandiko wangu hadi hivi sasa 😁Ni kweli mkuu.
Kama uko huko anza harakati za kujitoa before it is too late!
Aisee hapana kabisa. Hata sijashtukia mchezo. Nitonye aisee 😁Alafu shimba hivi unajua una chat na nani natumai umeujua mwandiko wangu hadi hivi sasa 😁
High IQ meme
Kwenye tako muumba Alituweza wanaume 😁😁😁Inategemeana na sura yake mkuu, ukipata ya sura za baba 🤢🤢, mmmh sio riziki asee
Embu cheki tako hilo 🤕🤕🤕😬😬
Acha kabisa, yana nguvu ya hatari kwenye ushawishi aseeKwenye tako muumba Alituweza wanaume 😁😁😁