Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
IMG-20230413-WA0004.jpg
plaxedes_doobae-20230611-0001.jpg
 
Kidume20, ye34nbe, mtu_wa_mungu

N. Kkkkk. Mods si watu wazuri aseee

Ila ngoja nitulie sasaivi ๐Ÿค•๐Ÿค•
Aiseee kumbe ni wewe?

ID zako zote zaidi ya 20 mods walizilima life ban?

Kwa kweli itabidi utulie maana ulikuwa bully sana mitandaoni humu bila sababu....

@ye34nbe ilikupatia umaarufu mkubwa kwa kugawa dislikes nayo mods walipita nayo permanently? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ndiyo mkuu wamelima 8, zimebaki 30 maana nimefungua 4 mpya acha tu asee unajua mpaka ofisini nilifika ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.

Hali ilikuwa mbaya watu walinisakizia sana ila acha nipoe ntaliamsha dude tena tu, mwakani huko
 
Aah msukuma huzijui njegere? Kwenu hazipo? Watu wengi wanakipenda ila mimi nimeshindwa kabisa
Chakula chako pendwa ni nini?

(Asking for a friend) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Back
Top Bottom