Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,798
Tuma nauli na yakutolea 😂Enhee
Tuma nauli na yakutolea 😂Enhee
Hii world cup.... duuh
Tunataka vituko bwana izi mambo peleka mmu
Mmmh!Watu weusi wananiudhi sana (mwenyewe nikiwemo). Kazi kulalamika tu wakati adui wao mkubwa ni wao wenyewe. Mtu mmoja anakwapua Tsh. trillion 1.5 mali ya umma na bado mnasimama majukwaani na kulaumu wazungu.
Please niwache!
View attachment 2630467