☟Daktari wa kiume alikuwa akimlaza mpenzi wake hospitalini kila anapokuwa zamu ya usiku mke wake alipata taarifa kuwa "mgonjwa" kama huyo amelazwa tena na kuamua kumtembelea hospitali kisha mengine ndiyo hayo unayoyaona![]()
View attachment 2648436
Sent using Jamii Forums mobile app
Wato heka heka wanaziweza hahahahaDaktari wa kiume alikuwa akimlaza mpenzi wake hospitalini kila anapokuwa zamu ya usiku mke wake alipata taarifa kuwa "mgonjwa" kama huyo amelazwa tena na kuamua kumtembelea hospitali kisha mengine ndiyo hayo unayoyaona![]()
View attachment 2648436
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshapapachua...
Ila mi ningekuwa nimeolewa halafu napata taarifa hasbandi yuko mahali redi hendedi wala siendi, ntafanya yangu nnayojua ila siendi kuupukutisha moyo wangu aiseeeh...Punene punene punene
Mboroo mboroo mboroo
Shida yote hiyo ya nini...!!!???
Vipi wale waliosema utamaliza bucha zote nyama ni ileile...!!??? Basi tuu wanadamu tunapenda hekaheka.....
Tatizo limeanzia kwa aliyemtonya mke wa daktari kuwa kuna mgonjwa spesheli kila daktari anapokuwa naiti shifti.
Anyways ya ngoswe aachiwe ngoswe
It izi wati iti izi....
Ila mi ningekuwa nimeolewa halafu napata taarifa hasbandi yuko mahali redi hendedi wala siendi, ntafanya yangu nnayojua ila siendi kuupukutisha moyo wangu aiseeeh...
Labda sababu sijui uchungu wa mume....![]()

Labda sababu sijui uchungu wa mume....Punene punene punene