Andikeni ya kwenu sasa. Kazi kulalamika tu wakati hata kuendeleza nchi zenu hakuna. Kulaumu wazungu tu wakati kinachodidimiza nchi zenu ni huu ufisadi wa kihayawani. Au na wenyewe ni kosa la wazungu?

Andikeni ya kwenu sasa. Kazi kulalamika tu wakati hata kuendeleza nchi zenu hakuna. Kulaumu wazungu tu wakati kinachodidimiza nchi zenu ni huu ufisadi wa kihayawani. Au na wenyewe ni kosa la wazungu?
Subamiiiit!![]()

OSHA mecho kidogo hasira zipungueWatu weusi wananiudhi sana (mwenyewe nikiwemo). Kazi kulalamika tu wakati adui wao mkubwa ni wao wenyewe. Mtu mmoja anakwapua Tsh. trillion 1.5 mali ya umma na bado mnasimama majukwaani na kulaumu wazungu.
🕺🕺🕺Watu weusi wananiudhi sana (mwenyewe nikiwemo). Kazi kulalamika tu wakati adui wao mkubwa ni wao wenyewe. Mtu mmoja anakwapua Tsh. trillion 1.5 mali ya umma na bado mnasimama majukwaani na kulaumu wazungu.
Please niwache!
View attachment 2630467
Hivi ni mtu ngapi zilizotoka Misri ndo zilifika nchi ya ahadi?The distance between Egypt and Israel is about 613 km, but it took Moses and the israelites 40 years to complete their journey.
On the average each day, they walked 43 metres!.
Yes 43 metres almost half of what Usain Bolt was doing in 5 seconds.
"I just wish Moses was still alive to explain this act of laziness...