stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 752
- 1,475
Magetoni yanafanyika mengi aisee 😆😆😆😆😆
Magetoni yanafanyika mengi aisee 😆😆😆😆😆
Asante mdogo wangu. Niliadimika saana. Nitajitahidi niwe naingia kidogo.Nice to see again loving sister! Shikamoo Dada.. Karibu tena jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni kuku wangapi?
Unafahamu jina la huyu ndege? Je, hapa bongo yupo?
Kama huna pesa utatumia silaha gani katika mapambano yako? 😳If you truly love someone you don't lose them because you don't give up to something you truly loved!...
You just gotta fight! However, if you break up and move on...
It means you didn't actually want to see it though...
After all, as Keanu Reeves once said "If you're a lover, you have to be a fighter...
Because if you don't fight for your love, what sort of love do you have??" ✌️
Aisee sijui. Nimemwona tu nikampenda. Labda nirudi kwenye hiyo website nikachukue maelezo kama hili ni jambo la muhimu kwako 🙏🏿Unafahamu jina la huyu ndege? Je, hapa bongo yupo?
Wapo sana ila hawana hela....nyie tulieni na sie wazee wa 2min lakinintuna hela. Huwezi pata vyote duniani
Amka amka Babu,,,,,,,,,,,,,,,,si yanga kapataSiyo shabiki wa mpira ila tu huwa sipendi Utopolo wakifungwa. Hivyo badala ya kusononeka; naomba tu nikalale mapema mimi. Tena nimekunywa na sleeping pill kabisa.
Mtanisimulia matokeo kesho...
Goodnight
View attachment 2645155