TAARIFA kuna barakowa zinajulikana kama kinga chini ya mdomo zimeandikwa 666+ ambazo zimetoka CHINA inasadikika kuwa zina sumu ya COrONA na zimeingizwa kisiri nchini Tanzania na zimesababisha vifo vya watu 180 huko Nigeria
Hata ukipewa bure usivae chonde chonde naomba utoe taarifa hii kwa watu wote wenye namba yako ili kuokoa maisha ya wengine
Foward kama unawapenda watanzania wenzako," NI HABARI YA KWELI!! By Umoja wa TRA, tbs Tanzania. .