El khelafi
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 212
- 493
😀😀😀😀😀Ubaya hamsalimiagi ningewaonesha ni wapi.View attachment 2631053
Hili chimbo liko wapi tisukutue na sisi
😀😀😀😀😀Ubaya hamsalimiagi ningewaonesha ni wapi.View attachment 2631053
Mambo yangu niachie mwenyewe...mkuu, post zako nimezifatilia sana🔞 aiiisee mbinguni utapasikia tu😂😂😂😂
Inasikitisha sana...TAARIFA kuna barakowa zinajulikana kama kinga chini ya mdomo zimeandikwa 666+ ambazo zimetoka CHINA inasadikika kuwa zina sumu ya COrONA na zimeingizwa kisiri nchini Tanzania na zimesababisha vifo vya watu 180 huko Nigeria
Hata ukipewa bure usivae chonde chonde naomba utoe taarifa hii kwa watu wote wenye namba yako ili kuokoa maisha ya wengine
Foward kama unawapenda watanzania wenzako," NI HABARI YA KWELI!! By Umoja wa TRA, tbs Tanzania. .
Nasikia masturbation inasababisha nywele kuisha
Uwongo!TAARIFA kuna barakowa zinajulikana kama kinga chini ya mdomo zimeandikwa 666+ ambazo zimetoka CHINA inasadikika kuwa zina sumu ya COrONA na zimeingizwa kisiri nchini Tanzania na zimesababisha vifo vya watu 180 huko Nigeria