Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mshana naomba msaada wako mkuu kila picha nikifungua Jf inakuja hivi shida itakuwa ninini?
Screenshot_20230521-164658.jpg
 
Mshana naomba msaada wako mkuu kila picha nikifungua Jf inakuja hivi shida itakuwa ninini? View attachment 2630165

Fuata maelekezo ya Melo hapa chini ili kupata App mpya ambayo haina hilo tatizo. Inavyoonekana ile app ya zamani wameamua kuitelekeza japo hawataki kusema. Ni zaidi ya mwezi watu wanalalamika lakini hakuna hatua yo yote inayochukuliwa!

 
Nipen pole jmn nmetoka job nmechoka nkabandika kanyama kangu robo ucngiz ukaniptia afu jiko la ges ilijipandisha nyama imewaka yote nimelia jmn afumbili miatano imeenda sijaambulia hata supu nikikumbuka nlibajet Iyo nyama nile siku tatu naishiwa nguvu imebdi nle ugali na kachumbal
FB_IMG_1684679062267.jpg
FB_IMG_1684679059272.jpg
 
Asante sana kwa kuniondolea hofu km kilio ni wengi make nilihisi simu yangu ina,japo mie sio mtundu kwenye mambo ya simu so inabidi ni reload jf kwa kupitia browser? Naomba husinichoke bro mpk nisaidike make namiss vingi bila kufungua picha au videos

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
bonyeza nukta 3 hapo juu kulia nenda sehemu palipo andikwa web view

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
The distance between Egypt and Israel is about 613 km, but it took Moses and the israelites 40 years to complete their journey.

On the average each day, they walked 43 metres!.
Yes 43 metres almost half of what Usain Bolt was doing in 5 seconds.

"I just wish Moses was still alive to explain this act of laziness...
 
I have discovered two important details:

One is the selective use of colloquial abstract representation of normative actions owing to the distinction in regulatory and derogatory affirmative relations to the binary sentences...

This paragraph eschatology is nimbus to my blankata as I try to scrutinize pelagic fanatic ameliorate sepetication...

I filomy selaque elucidate prudie of cremise elosis...

In short let me say I celesidate accume fatuous eloquently the derminor as I agrandize and aggravate felony...

I belong aquicious maneuver squinting spacious melontic of my harbourous viniculor pericarditis...

Thank you for understanding
 
When I’m drunk I’m very alert when crossing the road...

I look left and right for cars and bikes...

Then I look up for aeroplanes and down for bombs, then I look back for kidnappers and then I hold my beer tight and start walking in zigzag to avoid bullets😂😂
 
The distance between Egypt and Israel is about 613 km, but it took Moses and the israelites 40 years to complete their journey.

On the average each day, they walked 43 metres!.
Yes 43 metres almost half of what Usain Bolt was doing in 5 seconds.

"I just wish Moses was still alive to explain this act of laziness...
Hahahha
 
Back
Top Bottom