HII NI KASWENDE SUGU
Ukichelewa kutibiwa Kaswende inaweza kukufanya ukawa kama kuku kishingo inakula nywele.
Dalili ya kwanza kabisa ya Kaswende ni kidonda ambacho huwa hakina maumivu, kinaweza kuwa sehemu yoyote kwenye mwili kuanzia sehemu za siri, kwenye ulimi au kwenye vidole.
View attachment 2618485View attachment 2618486