Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

3a8517e3afce5f2dafd02048da98b628.jpg
 
Mk
"Wakati nipo Juu kimuziki Zama zile nilikuwa nikiamka Asubuhi nabeba Hela kwenye Mfuko wa Rambo nakwenda Chuoni kwa kina Sinta pale DSJ namchukua yeye na marafiki zake Naenda kuwanunulia Wote Kuku, hiyo ndio ilikuwa Ni ratiba ya kila Siku" - Juma Nature.

KIKO WAPI SASA[emoji1787]View attachment 2617910
Imebaki stori tu
 
Back
Top Bottom