mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,933
fanya unitumie hata kalaki dada yangu mpendwa 😂Ongea nae
Asubuhi kanipa 3.5 M na simu ni 3.2 M
Anabakiza chenji
fanya unitumie hata kalaki dada yangu mpendwa 😂Ongea nae
Asubuhi kanipa 3.5 M na simu ni 3.2 M
Anabakiza chenji
😂😂 hela ni za Shangazi yako Leniefanya unitumie hata kalaki dada yangu mpendwa 😂
nyie mnaonekana mna mihela nikirudi arusha itabidi mnifanyie maconnection, maana maisha haya....😂😂 hela ni za Shangazi yako Lenie
Mimi na Lenie hatukai Arusha 😂nyie mnaonekana mna mihela nikirudi arusha itabidi mnifanyie maconnection, maana maisha haya....
aisee aisee nimesahau hii ni JF kwanini najihangaisha....😂Mimi na Lenie hatukai Arusha 😂
Ukae tu kwa kutulia totoo 🤣🤣🤣aisee aisee nimesahau hii ni JF kwanini najihangaisha....😂
Nani alimdanganya tunakaa ArushaMimi na Lenie hatukai Arusha 😂
Nakazia 😂Ukae tu kwa kutulia totoo 🤣🤣🤣
Asijizime data kabisa 🤣Nakazia 😂
basi basi msinichangie sasa 😂Asijizime data kabisa 🤣
dubai kuna savannah mimi sio mjinga kiasi hicho eti😂
Ushawahi kufika?dubai kuna savannah mimi sio mjinga kiasi hicho eti😂
nikisema ndio, utaniamini?? 😂Ushawahi kufika?
Lini, na ulienda na naninikisema ndio, utaniamini?? 😂
mimi ni wa hapahapa bana, kua na amani 😂Lini, na ulienda na nani