Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,143
😂 mtu wa hivyo unadhani atakuwa anakuona wewe tu?Mi nafikiri ukishampea ukapata kazi ndiyo mmemalizana kumbe hiyo blackmail ndiyo inaendelea unakuwa mtumwa wake kila akitaka lazima umpee hata kama ulishaanza kazi?
Inhumane! 🚮🚮🚮
Atakapokuchoka,, visanga utaviona.

