Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hustler ana bahati 😁😁😁
IMG_20230510_200755_686.jpg
 
Nimemuuliza PM kasema amepata ng'ombe 36. Zinatosha hizi au aongezee mpaka zifike 50+?

Inaonekana hatakata tamaa kirahisi huyu kijana 😁
Dogo sijui anataka nini aisee, nishamwambia aachane na sisi mashangazi ila hataki.

mshamba_hachekwi mbona kuna pisi kali nyingi tu zifukuzie, me mstaafu nitakupoteza bure.
 
Back
Top Bottom