Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,174
Naomba kamba za manilajikaze😂
Naomba kamba za manilajikaze😂
ndo unani-flexia mahela sio??😂 una roho mbaya😂
tatizo mnaabudu iphone 😂mi nina google pixel 6A, one of the best cameras in 2022, na ni 800k tu.....Naomba kamba za manila
Google pixel ukitoa camera linabaki kama calculatortatizo mnaabudu iphone 😂mi nina google pixel 6A, one of the best cameras in 2022, na ni 800k tu.....
sasa iphone ina nini cha maana....Google pixel ukitoa camera linabaki kama calculator
tusifikirie sana tutakosa kuenjoy haya maisha mafupi 😂
wanasema 'everything in the universe, has a timeline'Najua mkuu...
Huwa hayanipotezeagi muda kivile...
Sasa imagine wanasayansi juzi hapa wameshuhudia sayari moja ikimezwa na jua. Na wanasema kuwa hata dunia yetu itaishia kumezwa na jua hili litakapoanza kuishiwa Helium na Hydrogen....na kuanza kutanuka....
Ukimsoma Mfalme Sulemani ndiyo unaelewa alimaanisha nini aliposema kuwa mambo yote ni ubatili!
Watu na maujuzi yaoNo sir!
That's not a piece of meat. It is supposed to be the same color like the soft inner parts of your lips. It is pink even though it can slightly differ from woman to woman
View attachment 2617510

Muonekano 🔥sasa iphone ina nini cha maana....
Mbona najiona mimi 🤣🤣🤣
iphone ni maarufu tu, ila kuna simu nyingi zimeipita, lakini average users hawafuatilii 😂pixel ndo best phone, jaribu utaona....Muonekano 🔥
Na ndio maana kuna vijana wanakopi muonekano wa apps 😁
Simu ni simu wewe
Muhimu upatikane on time.
Nitakushika ulipoweka wallet 😋
Unnecessary vayolensi....
maisha sio marahisi hivi 😂