MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,649
- 150,117
Babu nipo yaani daah,natamani nkwe nashinda muda wote lkn daaah[emoji134]Upoooo!?
Siku hizi unaonekana kwa shida sana.
Kuna nini mjukuu?
Au liFoxhound lilishafanya yake?
Nakumisi sana mjukuu
Hahahahhaah fox yupo shule eti kaenda kusoma