myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
jamani hata kusema i miss you??😂Vipi dogo
Vipi dogo
Ndio nini hii..
🤣🤣Kuna kiukweli aisee. Sometimes unaweza kupata mke bora baa kuliko hawa wanafiki wa kilokole ambao ni brainwashed na wachungaji wao...
View attachment 2613728
Kwa vile ana sura nzuri ndo maana imemtoa angekuwa wakina nanilii mmh
Yoga...Ndio nini hii..
Facts 💯💯💯Ndivyo saikolojia inavyosema maana wewe mumewe atakuwa anakulinganisha na ma ex zake kuanzia pesa, uhendisamu, treatment unayompa mpaka performance yako kitandani...
Wanasema body count ya 5+ tayari ni red flag....hasa kama alikuwa anaingia mapenzini mzima mzima maana wanawake ni viumbe wa hisia...
View attachment 2613717
Kuna vitu vinakatisha stimu asee duuh 😏
Sipingi mkuuu 💯💯Mafeki pastors ni hatari....
View attachment 2613733
🙆♀️ AstaghfirullahUnamkuwadia dadangu? 😳😳😳
😂😂😂 simwambii. Me nimekuonyesha ulichokuwa huoniMwambie akaoge alale kesho shule😂