Bageshi bana...Huoni hapo kabeba pochi halafu anamtembeza fasta fasta wawahi eneo la tukio.
Huyu ni mm kabisa 😅


Si ndio hapo sasaMwisho zikunyonge 😂
Chakufia nini
Me mpole sana bageshiBageshi bana...
Niliku sijui kuwa na wewe ni mkorofi hivi 😁😁😁

Lala wewe kesho kazini😛😛😛
Utapewa bahasha yako. Urudi ulikotoka..
😂😂 kazi gani tenaLala wewe kesho kazini😛😛😛
Nalijua sana....tena vizuri mno!Me mpole sana bageshi
Sina ukorofi kabisa, na unalijua hilo![]()
Utapewa bahasha yako. Urudi ulikotoka..
But in a serious note.
Shimba ya Buyenze mtujibie hilo swali
Nataka nishtue akili.
Imelala mno