Unajua kuwa huyo ni dada yangu?mwambie akimaliza aje kule selfika aniliwaze 😂twende nae taratibu, au unasemaje.... persistence is key😂
Unamkuwadia dadangu? 😳😳😳
mambo madogo tu kaka tutayajadili usiwaze kabisa 😂Unajua kuwa huyo ni dada yangu?
Ng'ombe unao au unajishaua tu? 😳
Bila ng'ombe 50+ wala usije hata kujitambulisha! 😬😬😬
Hapa ni mifupa mitupu sasa...Mshimo wake sasa maweee! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Photoshop zinawabeba sana hawa kawaida sana huyu
Unaonekana una heshima...mambo madogo tu kaka tutayajadili usiwaze kabisa 😂
Mwambie akaoge alale kesho shule😂
hadi farasi utapewa kama unataka 😂Unaonekana una heshima...
Go ahead lakini ng'ombe lazima!
Huyo bado denti bagheshiUnajua kuwa huyo ni dada yangu?
Ng'ombe unao au unajishaua tu? 😳
Bila ng'ombe 50+ wala usije hata kujitambulisha! 😬😬😬
Dah kweli tumetoka mbali, ung'eng'e na sound zilikua zimelala kichwani, nimekula sana hela za watu wanaomba niwaandikie baruaEnzi zetu dah!
Kimbembe sasa iangukie kwa mwalimu mnoko dah!
Na ilikuwa inasomwa na bweni zima 😁😁😁
View attachment 2601266
hatimae😍Mwambie akaoge alale kesho shule😂
Hii ni kweli 💯😅😅😅
Duh...fata nyuki ule asali...
Vipi dogohatimae😍
Demi nimeona tu nikutag rafiki yangu 😂