AiseeR. Kelly amevunja ukimya na kuamua kupiga show ndani ya gereza
"Hii ni njia ya kunimaliza, lakini hamtoweza kuzima muziki wangu" ni moja ya ujumbe alioutoa katika tamasha hilo lililoungwa mkono na wafungwa wenzake
Ukizumu utaona 90% ya wafungwa wa Marekani ni watu weusi.
View attachment 2612216View attachment 2612217
🤣KAA CHONJO 😁😁😁😅View attachment 2612740