myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Duh....Hatariii hatarishi..
Anatafuta kifo huyu...
Mkaa mkuu sio umeme..
Hii nayo balaaa
Aisee..
Kuna option nyingine ni kutumia Jf app old version zinapiga mzigo freesh kabisaMaxence Melo mkuu sana,fanya namna kwenye picha upande wa App. Tunaoteseka ni sisi mashabiki.
Natanguliza shukrani.
Hivi na wewe jirani ni Mpare?Mkaa mkuu sio umeme..
Nimeishi sana huko..Hivi na wewe jirani ni Mpare?
Nimeanza kusahau sahau 😁😁😁
Halafu ilibakia kidogo tu uolewe na Msukuma. Bahati za aina hiyo huwa haziji mara mbili shemejiWasukuma bhana![]()






Mwanamke hapa ni yupi? 😳😳😳