Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,143
Ile ikija hii natoa 😂😂Nikichimbua makabrasha yangu hilo faili naweza kulipata ila kwanza ukubali kuiondoa hii matipo 😁
Ile ikija hii natoa 😂😂Nikichimbua makabrasha yangu hilo faili naweza kulipata ila kwanza ukubali kuiondoa hii matipo 😁
😀😀😀nikaona niilete kama utaipendaNdio mnaanza kunichangia avatars 🥰😂
Tukufanyeje utupe location 🤣
Twende na hii wakati nikifungua makabrasha yangu 👏👏👏Mbona kamenifanania 😂😂 Lenie
Na vitu unavyoandikaga haviendani na watoto, hapana nimekataa
Limepita hili👏Twende na hii wakati nikifungua makabrasha yangu 👏👏👏
🤣🤣 vitu nachangia uwa ni under 15 lakiniNa vitu unavyoandikaga haviendani na watoto, hapana nimekataa
Thubutuuuuuu🤣🤣🤣 vitu nachangia uwa ni under 15 lakini
Tunatumia wakati tukingojea makabati yafunguliwe na Shimba ya Buyenze