Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_4636.jpg
 
Basi tunaomba ushuuda tuamini apa maana ata shimba ya buyenze kashakuchukulia point ap
Huyo babu achana nae mkuuuu ananisagia kunguni tu kisa nilimtukana mchepuko wake Kasie huyu Kasie alitukana mama zetu kisa kile kisa cha hakimi akisema eti sijui ukiweka mali kwa mama alafu akapata kibenten eti atazigawa kusema ukweli ninavyoandika hapa hasira zinawaka hatari 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡

Acha niishie hapo ushahidi huu 👇👇👇
Screenshot_20230416-205001~2.png

Account yangu iliyosema hivyo imefungiwa kwa miezi 6 😬😬😬😬 👇
Screenshot_20230424-183522~2.png


Sema ach nikae kimya tu imagine kibibi cha miaka 65+ kinaandika huu uharo mkuuuu 😤😤😤😠
 
Huyo babu achana nae mkuuuu ananisagia kunguni tu kisa nilimtukana mchepuko wake Kasie huyu Kasie alitukana mama zetu kisa kile kisa cha hakimi akisema eti sijui ukiweka mali kwa mama alafu akapata kibenten eti atazigawa kusema ukweli ninavyoandika hapa hasira zinawaka hatari

Acha niishie hapo ushahidi huu View attachment 2598394
Account yangu iliyosema hivyo imefungiwa kwa miezi 6 View attachment 2598396

Sema ach nikae kimya tu imagine kibibi cha miaka 65+ kinaandika huu uharo mkuuuu

Ko unataka kusema alikua anajaribu kutetea mshangazi wake au vip vita yenu ni kubwaaa
 
Back
Top Bottom