Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,773
- 256,795
Unanisingizia 😂🤣Alafu wee kumbe unapenda wanawake white colour🤣🤣🤣🤣
Unanisingizia 😂🤣Alafu wee kumbe unapenda wanawake white colour🤣🤣🤣🤣
Cheki picha zote za warembo unazowekaUnanisingizia 😂🤣
No 2 unyama. 😂👊
Nipo hapa nasubiria 🥰Takupa connection na code yake.. Salamu yako imenishawishi![]()
Video ya mchungaji mmoja kutoka nchini Nigeria imesambaa mitandaoni akiamuru simu za waumini wake ambazo hazikuwa na chaji, ibada itakapomalizika zitakuwa zimeingia chaji kupitia muujiza, huku muumini mmoja akitoa ushuhuda simu yake ilianza kuchaji ibada tu ilipoanzaView attachment 2597844View attachment 2597847
![]()
More than 40 bodies found at Kenya Christian cult graves site
Police began investigations amid reports that cult followers believed they would go to heaven if they starved to death.www.aljazeera.com
Zumaridi wamwangalie vizuri. Siku akiwaambia wafuasi wake kuwa wakati wa kwenda kwenye maghorofa ya mbinguni umefika itakuwa patashika nguo kuchanika!
Nikiweka mweusi nitakutagCheki picha zote za warembo unazoweka