KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,488
Raha nenda selfika ww au wa vyakulaDaah huu uzi hauna raha tena
Raha nenda selfika ww au wa vyakulaDaah huu uzi hauna raha tena
Wanataka wote tutumie hii app yao ambayo ipo web- based....Daah huu uzi hauna raha tena
Ipoje? Umeijaribu?Wanataka wote tutumie hii app yao ambayo ipo web- based....
![]()
App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APPwww.jamiiforums.com
Ndiyo...Ipoje? Umeijaribu?
Mimi browser siwezi kwa kweli...kama ndio wananifukuza jf wasemeNdiyo...
Inafanya kazi kama browser tu haina tofauti sana...
Hii tuliyoizoea naona ndo wanaitelekeza dah!
Download hiyo app yao uone. Mimi huwa naitumia wakati wa emergency tu kama hivi. Nishashindwa kuizoea kabisaMimi browser siwezi kwa kweli...kama ndio wananifukuza jf waseme
Kama inafanana na browser siitaki walahi...ngoja nikomae na hiihii kwanzaDownload hiyo app yao uone. Mimi huwa naitumia wakati wa emergency tu kama hivi. Nishashindwa kuizoea kabisa
Wamenuna wanawake hii wikend....yaani ukipiga story tuu kuhusu huyu bwana mdogo u akatwa jicho moja hatari🤣🤣🤣🤣
Nawashangaa sana....wanaume tunataka tako