Ila tuache utani jamani, nyama ya kuiba tamuuu [emoji39][emoji39][emoji39]
(Na hapa siongelei nyama) [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2575945
Kuhusu upinde wa mvua Sina shaka na unajua hizo rangi za mashoga na rainbow Zina kautofauti kidogo.Hizi ni rangi za kawaida sana na kuzikwepa kuzitumia ni vigumu. Zipo pia kwenye bendera ya nchi nyingi tu.
May be we are just overreacting maana sasa tumefika mahali mtu hata ukiona upinde wa mvua tu - one of the most colorful and peaceful natural event - tunahusisha na ushoga.
We need to calm down [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka visitors wengine wanahamia kwake
Sasa huko juu kafikaje jamani