10=200[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2574424
Wanapambana eti wawe chama kikuu cha upinzani kwa sababu eti CHADEMA mmeamua kuunga juhudi za mama [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui tunaaminika vipi mpaka tunapewa mikopo! Au ndio tunapambana kuuza vitalu vya madini na mbuga ili kuuza nchi vzrView attachment 2574750
Adhabu kwa Ubadhirifu wa MALI au FEDHA za Umma kwenye Nchi Mbalimbali
•Korea Kaskazini - Mhusika ananyongwa mpaka anakufa.
•China - Mhusika anauliwa au anafungwa jela Maisha na hakuna msamaha.
.Japan - Mhusika anajiua mwenyewe ili kuepuka aibu kwake mwenyewe na ukoo wake.
•Russia - Mhusika anafungwa zaidi ya miaka 20 na analipa mara 50 ya kiwango alichoiba na hatorudia kutumikia ktk ofsi yeyeto ya umma Nchini Russia.
•Thailand - Mhusika anafungwa miaka zaidi ya 15 na haurudi ofsi yeyote ya Uma kwa miaka 50 kufanya kazi.
•Marekani - Mhusika anafungwa zaidi ya miaka 10 na faini kali
•Uingereza - Mhusika anafungwa zaidi ya miaka 10.
•Ghana - Mhusika anafungwa miaka kuanzia 10 na hawezi kutumikia ktk ofsi ya umma.
•Tanzania - Unabadilishwa Ofsi au Wizara, unaitwa STUPID unaendelea kula keki ya Taifa la Tanzania
Mtu anaanza kukupa nauli, msosi, vinywaji, analipa na guest, bado akununulie chai asubuhi, akupe na pocket money! M'badilike sasa na nyie muone mna kila sababu ya kuchangia ukaribu wenu kama mmoja ata cover misosi na vinywaji, mwingine alipe chumba na nauli, na hapo kila mtu atakua na uchungu na mwenzie na kila mtu atakua na raha na mwenzie! Tofauti na hapo itakua ni kununua mapenzi
Babra kajifungua!!!??? Ujinga mwingne huu
Kwani Babra siyo mwanamke mkuu? [emoji15][emoji15][emoji15]Babra kajifungua!!!??? Ujinga mwingne huu