Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,704
Kwakweli we wachana tu na maisha yangu[emoji28]Achana na maisha yangu [emoji51][emoji51]
View attachment 2537643
Dahh, madogo wamenifurahisha sanaaa, awatak ligi kbs [emoji1][emoji1][emoji1]
The struggle is real
Hizi ni rangi za kawaida sana na kuzikwepa kuzitumia ni vigumu. Zipo pia kwenye bendera ya nchi nyingi tu.You can't even escape this shit it is everywhere.View attachment 2575868
Kwa nini huwa inakuwia vigumu sana kupata SDY zenye viwango vinavyotakiwa mpaka unaishia kuweka SDY zilizochoka choka tu? Lengo lako naamini ni kudhoofisha brand ya SDY kwa vile wewe ni timu mifupa. Hutafanikiwa kamwe!