blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,521
- 16,954
Wee mke wa mtuu mtamu sana wacha tuu tuendelee kuwakulaBora wewe ulijifunza mapema. Ila kuna watu hawasikiagi kuhusu wake za watu hadi wakifumwa ndio wanaanza kujutia.
Nimekumbuka ile video sijui tukio lilitokea wapi ila watu wanaongea lafudhi ya Pemba jamaa anapigwa na bapa la panga huku kaamriwa atoe nguo sijui walimla na yeye mana sikuona hadi mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikua anatia huruma lkn ajabu watu hawakomi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mrefu atakuwa mtamu sana😍😍😍😍
[emoji23]Apo laana anayoajuza uyoDuh! Watu wana laana sana
Hivi ni kwann mkuu 😁🤔
Wemzee vitabu vyangu vipi sasa mkuuu 😁😁😁
[emoji3407][emoji70][emoji3179][emoji23]Apo laana anayoajuza uyo
Kumbe ni deni [emoji15][emoji15][emoji15]Wemzee vitabu vyangu vipi sasa mkuuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona upo kwa ma sdy siyo