Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Happy 61st Birthday to “MC Hammer” aka Stanley Burrell.

Born March 30, 1962, He is an rapper most known for hit songs such as "U Can't Touch This", "2 Legit 2 Quit" and "Pumps and a Bump", flashy dance movements, extravagant choreography and his eponymous Hammer pants.

Remembered for his rapid rise to fame, Hammer has also been an entrepreneur and celebrity spokesperson.
FB_IMG_1680441090633.jpg
 
Siku ile ile wakambadilisha Bob Junior kua kitu ingine. Ukiwa porini ukiona hii mambo. Usijiulize sana. Hii ni MAMBO ya fisi. Ni nyeupe kwa sababu ya mifupa. Wana mashine kali sana tumboni mwao inasaga kila kitu. Rangi nyeupe inatokana na mifupa anayoimeza.
Screenshots_2023-04-02-16-12-59.jpg
 
Bora wewe ulijifunza mapema. Ila kuna watu hawasikiagi kuhusu wake za watu hadi wakifumwa ndio wanaanza kujutia.

Nimekumbuka ile video sijui tukio lilitokea wapi ila watu wanaongea lafudhi ya Pemba jamaa anapigwa na bapa la panga huku kaamriwa atoe nguo sijui walimla na yeye mana sikuona hadi mwisho alikua anatia huruma lkn ajabu watu hawakomi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo itakuwa lazima walimla...

Imagine kudhalilishwa hivyo wakati mbususu za singles na masingo maza zipo kibao!...
 
Back
Top Bottom