Very very trueeeee🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu inabidi apewe somo naona bado lena
Dah hatari! Ila mie demu nimgegede alafu nisibaki na kyupi yake naona sijatendea haki nafsi yangu
Hujala mwarabu wala nini acha upopoma hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kafumaniwa na mke wa mtu...Toa maelezo kidogo
, 😁😁😁😁Kituko gani kinaendelea hapa?
, 🏃🏃🏃🏃🏃Mshana Jr. Njoo umroge huyu dogo kaweka picha yako bila idhini. Dogo yaani hajatulia kabisa ndo maana ban huwa hazimkosagi [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah! Hii kitu nmekumbuka mbali sana
Uliona nini? [emoji16][emoji16][emoji16]Dah! Hii kitu nmekumbuka mbali sana
Nakumbuka niliiba nyumbani tsh 1000 nikaenda kuangalia hivi vidude
Ilikuwa na vipicha flan kama vikatuni kuna sehemu unabofya halafu kunazunguka na kubadili pichaUliona nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ana hamuHuyu Bi. Mkubwa vipi?
View attachment 2572629